donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
OkBreed koko
Picha ya Ronaldo please.Dah hongera kwa kufuga mkuu. Hivyo vijibwa vimenikumbusha 2005 nilikuwa na kijibwa kimoja nikakiita Ronaldo, siku moja nikapata likizo naenda nyumbani rafiki yangu akabaki nae ile narudi nilimsahau Ronaldo aisee alikuwa kama FISI.
Picha ya Ronaldo please.
Alitafuna mifugo mkuu?Dah hongera kwa kufuga mkuu. Hivyo vijibwa vimenikumbusha 2005 nilikuwa na kijibwa kimoja nikakiita Ronaldo, siku moja nikapata likizo naenda nyumbani rafiki yangu akabaki nae ile narudi nilimsahau Ronaldo aisee alikuwa kama FISI.
Alitafuna mifugo mkuu?
Breed koko
Acha dharau [emoji38][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23]
aiseeMbona kama hao mbwa ni walemavu wa ngozi