Msaada wa kujua kama mimba aliyopata mwanamke kama ni yangu au sio yangu

mzungu jw

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
290
Reaction score
33
kuna mwanamke amekuja na kuniambia anamimba yangu ina mienzi 4 na wakat 2meachana muda mrefu xana naitaji msaada wa kujua kama mimba alio nayo ni ya kwangu au sio nifanyaje
 
Subiri mtoto akizaliwa kapime DNA. Kwani mimba ikiwa yako unataka kuitoa? au kuikataa? Watu hawakatai mimba wanakataa mtoto.
 
Subiri mtoto akizaliwa kapime DNA. Kwani mimba ikiwa yako unataka kuitoa? au kuikataa? Watu hawakatai mimba wanakataa mtoto.

hamna co nataka kukataa achoofia ni kwamba unaweza kumlea mwanamke na mimba yake alafu mtt akawa co wako alaf kingine alikuwa wapi asixeme kama anamimba mpak ifikishe mienzi 4? wasiwasi ndo upo hapo
 
hapo ujaelewa nn nazani ww bila fimbo uelewi

We jifanye mjanja! Unataka saidiwa halafu unaleta dharau, ngoja ss waje na kukupeleka kwa pilato wawe wanachukua na income yako juuu kwa juuu
 
kuna mwanamke amekuja na kuniambia anamimba yangu ina mienzi 4 na wakat 2meachana muda mrefu xana naitaji msaada wa kujua kama mimba alio nayo ni ya kwangu au sio nifanyaje

kama unakumbuka lini mlikutana yaani mwezi na tarehe,tafadhari mwambie akwambie tarhe ya mwisho kupata hedhi na huwa na mzunguko wake wa siku ngapi mfano 22.30.28....kuna mada nimeanzisha hapo ntupie hapo....
 
hamna co nataka kukataa achoofia ni kwamba unaweza kumlea mwanamke na mimba yake alafu mtt akawa co wako alaf kingine alikuwa wapi asixeme kama anamimba mpak ifikishe mienzi 4? wasiwasi ndo upo hapo
Kama hakuwa na wasiwasi wakati anafanya sasa kwanini awe na wasiwasi wa mimba?
 
We jifanye mjanja! Unataka saidiwa halafu unaleta dharau, ngoja ss waje na kukupeleka kwa pilato wawe wanachukua na income yako juuu kwa juuu

xawa mxomi unataka niandikaje
 
kama unakumbuka lini mlikutana yaani mwezi na tarehe,tafadhari mwambie akwambie tarhe ya mwisho kupata hedhi na huwa na mzunguko wake wa siku ngapi mfano 22.30.28....kuna mada nimeanzisha hapo ntupie hapo....

yeye anaxema 2livokutana kesho yake ndo akaona cku zake kwamfano leo 2mekutana alafu kesho ndo akaona cku zake
 
xawa mxomi unataka niandikaje

Hilo jambo hakuna anayeweza kukupa jibu sahihi mpaka ukumbuke angalau kwa kukukisia ulimuacha lini au mara ya mwisho kula mzigo ilikuwa lini! Ila ukiwa na majibu rahisi inakula kwako, kesi za kutupa watoto zimekuwa nyingi sana so wadada wanasikilizwa sana kwny masuala ya malezi
Muhimu jaribu kukumbuka ilikuwa lini, check documents zako mawasiliano yenu na vitu vya aina hiyo. Ukipata jibu hapo kila kitu kinakuwa wazi
 

hayo unayo yasema ninayo ataki2kapime pamoja mimba niambiwe iyo mimba ni ya mienzi mingapi kwani wa2 wanasema iyo mimba nikubwa
 
Ukiweka sharti la msaada ni vipimo kila mtu atakuelewa! So shijukia msimamo huo, kama hataki inekula kwako otherwise akapime
 
teh teh teh mzungu pori kakutana na madem wa mjini , kasakiziwa mimba!
 
Last edited by a moderator:
yeye anaxema 2livokutana kesho yake ndo akaona cku zake kwamfano leo 2mekutana alafu kesho ndo akaona cku zake

inawezekana kabisa,kama ni tarehe ulontajia ni kweli siku hyo ndio alikuwa kwenye kipindi cha kushika ujauzito,anaweza kujifungua mtoto wa kiume


SOMA HII NONDO YA Kungurumweupe


By Kungurumweupe View Post
Naomba nitoe mifano hai kwa faida ya dada zetu na wengine:

1. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 22 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa chini:

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd.

Kisha ahesabu kuanzia ile 22nd day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 8th day ya kalenda yake. Hivo 8th day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 22. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!


2. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 28 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa chini:

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th.

Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 14th day. Inamaana kwamba 14th day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 28. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!


3. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 35 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa chini:

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th, 29th, 30th, 31st, 32nd, 33rd, 34th, 35th.

Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 21st day. Inamaana kwamba 21st day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 35. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!


4. Kama mwanamke ana abnormal menstration cycle ya siku 15 , BASI KUNAUWEZEKANO WA KUTOPATA MIMBA KABISA KAMA INAVYOONEKANA HAPA CHINI:

Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama kawaida:

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th.

Kisha ahesabu kuanzia ile 15th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 1st day. Inamaana kwamba, the 1st day of her bleedind ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 15. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed, na ndiyo hiyo hiyo siku ambayo mwanamke wa kundi hili anaweza kupata mimba!

Hii inamaana kwamba, siku ambayo linaharibika lile yai la upande mmoja ndiyo siku hiyo hiyo ambayo yai la upande wa pili linapevuka tayari kwa kurutubishwa. Mwanamke wa aina hii anaweza kupata mimba tu kama atakutana na mwanaume siku ile anayoanza kubleed, kwani siku ambayo yai moja linaanza kuharibika ndio siku hiyo hiyo ambayo yai la upande wa pili linakuwa tayari kurutubishwa!

Na wanawake wa kundi hili la nne ukiwauliza vizuri watakiri kwamba hawajawahi kuona au ku-feel ule ute mweupe ambao wenzao huwa wanaupata siku ile yai linapokuwa tayari kwa kurutubishwa, kwani ute wa wanawake wa kundi hili la nne huwa unachanganyikana na damu kwa vile unatoka siku ile ile wanapoanza ku-bleed. Pia wanawake wa kundi hili huwa wanatokwa na kiasi kidogo sana cha damu; na bleed hukatika ndani ya siku moja au mbili tu!

Jambo la kushangaza ni kwamba, wanawake wengi hawana knowledge ya kutosha juu ya hili suala la siku ya mimba; hasa wale ambao wana menstration cycle inayobadilikabadilika! Wao husitukia tu wameanza ku-bleed. Ndo maana hawawezi hata ku-plan kutopata mimba! Hawana ujanja kabisa ndio sababu wengi wanatumia sindano na njia zingine nyingi za artificial ambazo mwisho wa siku huwaletea matatizo ya uzazi, kwani nyingi hu-block njia ya uzazi! Nimeona wengi wenye matatizo ya uzazi unaosababishwa na hizi artificial family planning. Wengine hulazimika kwenda hospital kuzibuliwa ili wapate mimba jambo ambalo ni hatari kwa afya zao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…