Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, nina mpango wa kuanza kilimo cha vitunguu msimu huu wa kilimo. Naomba yeyote anayefahamu mahali napoweza kupata mbegu bora anifahamishe. Ukinijulisha na bei pia itakuwa vizuri zaidi.
Kama*upo Dar nenda Kariakoo sokoni*utapata mahitaji yako yote ya mbegu.ila nakushauri nunua mbegu ya red creole ndo nzuri kwa magonjwa na kuvumilia hali ya hewa mbaya.
Mara nyingi pembejeo husika hupatikana kw aurahisi katika eneo husika wewe unafanyaia wapi hiki kilimo..kwenye hilo eneo lazima kuna njia rahisi za uapatikanaji wa vitu muhimu kwa kilimo cha eneo hilo