Msaada wa kujua manukato mazuri

Anaejua bei ya scandal og please
 
Sijanunua perfume 800K mimi hata kama hiyo pesa ninayo (nieleweke sisemi wanaonunua hawana akili) nitaishia kununua hizi hizi za 30/35K cha msingi ikae 14hrs maana sirudii nguo useme nitataka kunukia labda kwa siku mbili.

Mleta mada kila pafyum ina mtu wake unaweza ukanunua hiyo hiyo original anayotumia mwenzako ukaitumia wewe mwisho watu wakakuuliza mbona siku hizi unatumia perfume ya hovyo kiasi hiko so chagua moja uiangalie na siyo rahisi wewe mwenyewe kujua uzuri wa manukato ukiwa umevaa nguo iliyopuliziwa.

Namna ya kutest vaa shirt au t-shirt jipulizie kisha ivae ukihisi imeingia jasho la mwili wako ivue itundike mahali chumbani kisha toka nje kaa may be 1hr ingia utaisikia harufu yake mimi huwa naacha hata siku mbili maana kadiri muda unavyoenda ndo inavyozidi kuwa nzuri au kuwa mbaya kutokana na jasho langu.
 
Unyunyu authentic una balaa lake..shida huku bongo famba nyingi..ukipuliza baada ya kupigwa upepo dk kadhaa,unyunyu badala ya kunukia unakuwa unanuka..

Ni bora upambane tu hata uagize nje kama kweli unyunyu ni mambo yako.
To be honesty napenda kunukia mnoo!
Na sipendi harufu za kufanana!
Napenda nikipita au nikiwa mahali mtu asikie harufu au niache harufu tu!
Basi tu ndo vile sina hela ya kupata og,ila najitahidi[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Creed Aventus ina mbadala wake ambao ni OG, tafuta Zara Vibrant Leather perfume inakuwa na ujazo 120mls...

Infact Zara ana manukato mazuri sana kwa bei nafuu, vile wabongo wengi hawazijui tu...
 
To be honesty napenda kunukia mnoo!
Na sipendi harufu za kufanana!
Napenda nikipita au nikiwa mahali mtu asikie harufu au niache harufu tu!
Basi tu ndo vile sina hela ya kupata og,ila najitahidi[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kunukia muhimu..kuna some positive attention unaweza kuzipata..kama vile kunuka kunavyoweza kukupa negative reception.
 
Creed Aventus ina mbadala wake ambao ni OG, tafuta Zara Vibrant Leather perfume inakuwa na ujazo 120mls...

Infact Zara ana manukato mazuri sana kwa bei nafuu, vile wabongo wengi hawazijui tu...
Hiyo creed aventus ya kupima ipo? Na ni shingap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…