PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ipo kweny kindoo au dungu la mafuta πππππ
kwa elfu kumi wapi inapatikanaDior sauvage uyu apa.10k tu ukipita mahali watasema ni mkurugenzi View attachment 2167121
Nilinunua Kwa awa jamaa instakwa elfu kumi wapi inapatikana
mkuu chupa yake ulikaa nayo muda ganiNilinunua Kwa awa jamaa insta
Wanaitwa starlubs Wana duka lipo tabata segerea na sinza african Login β’ Instagram
mkuu chupa yake ulikaa nayo muda gani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hebu chupa yake na mimi nifate ukipuliza kidogo inanukia eehUnapuliza kidogo tu mara Mbili bac ,iyo cio spray unapuliza kama unazima moto.
kinywanyuku
π€π€π€π€Sio greed ni creed..andaa 750,000 na kupanda juu.