Msaada wa kujua mzunguko wangu

asante sana nimeshafunga ndoa mwaka jana,pia asanteni wote kwa ushaur wenu cna mengi naomba niishie hapo.na pia cwez kupata mtt nje ya ndoa yangu coz najua maisha yalivyo nishapitia mengi.
 
asante sana mi nimefunga ndoa mwaka jana na nisingependa kupata mtt nje ya ndoa najua usumbufu wake,asante kwa ushauri wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…