Msaada wa kujua namba ya rangi ya gari

Eng Mose

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2017
Posts
242
Reaction score
322
Wadau naombeni mwenye kujua namba ya hii rangi, nimezunguka sana nimekosa namba yake. Mwenye kujua naomba msaada. Nimeipenda rangi hii ndio maana naitafuta. Msaada wenu ni muhimu kwangu.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia kwenye details zake kipengele cha color code utaipata

Jr[emoji769]
Asante mkuu, hilo gari nimelikuta mtandaoni nikaipenda hiyo rangi nimetafuta codes za hiyo rangi nikakosa., kuna siku pia nikakutana na muhindi mmoja amepiga kwenye gari lake nikamuimba aniambie akagoma ila akanielekeza kwa mpiga rangi wake ili akanioigie na mimi..., duh huyo fundi aliniambia hiyo rangi anapiga kwa 3m nilishangaa sana. Muhindi kanibania code ya rangi, fundi kapandisha bei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaa 3M kupiga rangi gari ambayo haina dent wala haijabondwa.. Hebu subiri nione
Jr[emoji769]
 
Nadhani hii ni Java metallic.. Na ukipigiwa kwa bei ya juu kabisa ni million moja.. Lakini standard ni 6-7

Jr[emoji769]
 
Bro nashukuru sana, ila naina kama haifananani, ila nashukuru sana maana nazidi kupata mwanga mkuu..
3m eti kuoiga tu rangi si bora ninunue corolla au mark 2 au cheser na chenji inabaki
Nadhani hii ni Java metallic.. Na ukipigiwa kwa bei ya juu kabisa ni million moja.. Lakini standard ni 6-7View attachment 1344887

Jr[emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni kwenye picha.. Nakushauri fika kwenye maduka ya rangi uwaoneshe hiyo code ili uone kitu halisi
Bro nashukuru sana, ila naina kama haifananani, ila nashukuru sana maana nazidi kupata mwanga mkuu..
3m eti kuoiga tu rangi si bora ninunue corolla au mark 2 au cheser na chenji inabaki

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…