Msaada wa kujua namna ya kutengeneza maandazi kibiashara

Michael Bosco

Member
Joined
Jan 10, 2010
Posts
86
Reaction score
47
Naomba mwenye ujuzi na uzoefu wa namna ya kutengeneza maandazi ya biashara. Lengo ni kuuzia maduka madogo madogo yanayonizunguka mtaani. Natanguliza shukrani
 
Kuna aina ngapi za Mandazi kwani? Na je utengenezaji ni tofauti? Ni sawa na kusema upikahi wa nyama hotelini ni tofauti na nyumbani.

Unacho paswa kujua ni wengine wana pikapikaje hasa vitu kama size, packaging na ingredients zingine.Hivi utavijua kwa wewe kununua mandazi yao na kuyaonja.

Ukisha maliza hilo unapaswa kujua washindani wako ni wa ngapi hapo kitaa.

Idadi yao kabisa na unazani unaona gap gani kwao?hapo hapo unapaswa kujua Market share pia wewe ukiingi unazani utakuwa na share kiasi gani?

Hapo hapo kwenye washindani pia jua yafuatayo.
-Direct competitors-Hawa ni wapika mandazi kama wewe
-Inderct hawa ni wapika Vitumbua, Sambusa, mikate, mihogo na kazalika

Hawa wote wanaweza kukutoa sokoni au unaweza kuwatoa sokoni
Naomba mwenye ujuzi na uzoefu wa namna ya kutengeneza maandazi ya biashara. Lengo ni kuuzia maduka madogo madogo yanayonizunguka mtaani. Natanguliza shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…