Msaada wa kujua ninunue aina gani ni simu original zenye internet za bei nafuu.

Msaada wa kujua ninunue aina gani ni simu original zenye internet za bei nafuu.

Mnyella

Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
43
Reaction score
6
Ndugu zangu mimi nataka kununua simu,nimeona nisiende kichwakichwa niwaulize kwanza ndg zangu hapa,naitaji kununua simu original yenye internet ya bei nafuu,je ninunue aina gani ya simu?nafikiri ndg zangu nimeeleweka naomba msaada wenu!
 
Ndugu zangu mimi nataka
kununua simu,nimeona nisiende kichwakichwa niwaulize kwanza ndg zangu
hapa,naitaji kununua simu original yenye internet ya bei nafuu,je
ninunue aina gani ya simu?nafikiri ndg zangu nimeeleweka naomba msaada
wenu!

ukosahihi sana,kwani wewe una kiasi gani cha pesa ningeomba unitajie ili nikufahamishe ni simu ipi itakufaa kulingana na mfuko wako asante
 
Nenda mlimani city Tafuta simu za samsung, nokia, htc etc original na zenye warrant. Usinunue simu bila warrant
 
ok kwa kuwa ujataja kiasi ulichonacho,lengo langu niende direct kukujuza simu atayo faa kulingana na pesa yako worry out kunasimu hizi hapa uhenda zikakufaa.
Tukianza na za mchina tecno zile za laini 3 ni nzuri kwa internet pia ni imara na bei yake ninafuu.
Unaweza ukanunua NOKIA aina yoyote ile inayo support net ninauzoefu wa simu za nokia ni nzuri lakini hakikisha ni nokia orginal sio mchina wala sio zile simu za minadani nunua simu ktk duka linalojitosheleza ikiwezekana upewe na warrant card.
Nitajie hizo bei ndg yangu na aina ya simu.
 
Back
Top Bottom