MwajabuOmary
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,059
- 2,982
Mkuu Acha ujuaji wewe,jambo usilolijua ni hekima na busara kukaa kimya,wewe Kila kitu umeaandaa akiri yako kupinga.Kichwa cha habari Speedaf Express mada AliExpress tushike lipi,
yaani kwanza kampuni inajiita Speed as *** ndo kirefu cha af huoni hao ni wahuni
Changamoto hapa ni ofisi za speedaf express hapa Dar es salaam na sio AliexpressKichwa cha habari Speedaf Express mada AliExpress tushike lipi,
yaani kwanza kampuni inajiita Speed as *** ndo kirefu cha af huoni hao ni wahuni
Sasa hizo nguvu ulizotumia kuniattack si ungemsaidia mwenye shidaMkuu Acha ujuaji wewe,jambo usilolijua ni hekima na busara kukaa kimya,wewe Kila kitu umeaandaa akiri yako kupinga.
AliExpress hutumia Speedaf kusafirisha mizigo kutoka china kuja Tanzania.
Na Mimi naitumia Kila mara niagizapo mizigo Toka china to Tanzania,hivyo kwa mtoa madam kabla sijatoa neno waweza naitumia tracking namba ya huo mzigo wako inbox ili nijue namna ya kukusaidia
Nb kama hutojari
Nimejatibu Google map wanaonekana wapo mitaa karibu na china plazaChangamoto hapa ni ofisi za speedaf express hapa Dar es salaam na sio Aliexpress
I mean China town mikocheni hukoNimejatibu Google map wanaonekana wapo mitaa karibu na china plaza
Kwa nini akutumie? Kwa nini usimwelekeza zilipo ofisi anazoulizia?Mkuu Acha ujuaji wewe,jambo usilolijua ni hekima na busara kukaa kimya,wewe Kila kitu umeaandaa akiri yako kupinga.
AliExpress hutumia Speedaf kusafirisha mizigo kutoka china kuja Tanzania.
Na Mimi naitumia Kila mara niagizapo mizigo Toka china to Tanzania,hivyo kwa mtoa madam kabla sijatoa neno waweza naitumia tracking namba ya huo mzigo wako inbox ili nijue namna ya kukusaidia
Nb kama hutojari
Si kwa nia mbaya mkuu,japo kwa Dar kinaweza kuwa na vituo vingi na agents zaidi ya Mmoja hivyo kuelewa ni wapi mzigo specifically upo ni ngumu.Kwa nini akutumie? Kwa nini usimwelekeza zilipo ofisi anazoulizia?
NimekuDMHabarini waungwana,
Ni matumaini kwamba watu watakua kwenye maandalizi ya sikukuu ya Pasaka.
Tafadhali napenda kuwajulisha kwamba kampuni niliyoitaja hapo juu inajihusisha na upokeaji na usambazaji wa mizigo inayotoka nje na hasa bidhaa zinazo nunuliwa kwa njia ya mitandaoni.
Ni kwamba niliagiza bidhaa kutoka China tangu mwezi wa kwanza na bahati nzuri Aliexpress ukilipipia mzigo wako wanakutumia tracking number ya kufuatilia mzigo wako hatua kwa hatua.
Ilichukua si zaidi ya siku 16 mizigo yangu ilifika Dar es salaam. Cha ajabu ni kwamba mpaka kufikia leo zaidi ya siku 30 tangu mizigo ifike Dar sijaipata.
Niliwapata kwa njia ya simu waliniuliza swali la kitoto sana eti wewe umejuaje kama mizigo imefika.
Nikawapigia tena wakaniambia niwatumie tracking number kwa njia ya whatsup nikatuma bila majibu, nilipowapigia tena wakasema hawana whatsup nitume kwa message za kawaida. Nimewatumia kwa njia wliyoitaka wao lkn mpaka leo majibu hakuna.
Miongoni mwa kanuni zao ni kwamba mzigo wa mteja ukifika watakutumia msg kwa ajili ya kupokea lkn hawafanyi hivyo
Nimewatumia msg kwa email yao lkn mpaka leo hakuna majibu.
Naomba mwenye location ya ofisi yao ilipo anipe maelekezo
Naomba kuwasilisha
Check your DMVipi chief, umefanikiwa kupokea mzigo wako?
Courier aliye scan mzigo wangu hapokei simu, na hawajui wana deal na nani, kitendo nitawafanyia watafunga ofisi!
ukiwa unatokea mataa ya morocco kuelekea shoppers plaza mikocheni kupitia kingjada hotel then yard za kuuza magari kushoto mbele utaona kuna mawella liquor store kabla ya hii store utaingia kushoto ambapo kwa pembeni ya hiyo liquor store kuna barabara ya lami inashuka chini kelekea mtaa wa migombani kwenye hiyo barabara kwa mbele kulia kuna hiyo ofisi ina geti sikumbuki ni jeusi/jekundu but ipo opposite na fremu hivi za biashara. Hao jamaa hawana customercare kabisa na huwa wanaongea na mteja kwa lugha isiyo friendly. Ramani hiyo hapo chini fuata mstari mwekundu kumbuka unatokea mataa ya MoroccoHabarini waungwana,