Msaada wa kujua shule izi zilipo

Msaada wa kujua shule izi zilipo

saly muh

Member
Joined
May 31, 2013
Posts
30
Reaction score
5
Habar za majukumu wanajf..mi naomba msaada wa shule za sekondari za serikali.zilizopo nje kidogo ya mkoa wa dar.
 
nadhani unge-specify haswa aina ya shule unazotaka, nje ya mkoa wa dar, mikoa mingine yote ina shule za secondary.
 
Shule za serikali za sekondari nje kidogo ya dar..i gues nimeeleweka
 
Shule za serikali za sekondari nje kidogo ya dar..i gues nimeeleweka

unamaanisha hadi zile wanazoita za kata au? chache nnazozijua ni kibaha, bagamoyo, minaki, pugu, kibiti, ruvu.. nyngne watakusaidia wanaozijua
 
Back
Top Bottom