Msaada wa kujuzwa bei za rangi na gyspsum powder kwa sasa

venance7

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2019
Posts
558
Reaction score
1,645
Nahitaji kujua bei za rangi za emulsion lita 20, silk lita 20,oil paints zile za makopo ya lita nne gypsum powder,hizi ni kwa maeneo ya Dar tu kwasasa nipo nje ya Dar, bei zinabadilika najua ila nahitaji kujua kwasasa zimefikia bei gani.
 
Mmh ngoja tusubiri wataalam
 
Lita 20 emulsion 35000, lita 20 silk 135000, lita 4 za mafuta 23000 na gypsum powder 15000andika,
Karibu tukuhudumie kama ipo chanika usafiri ni bure mpaka site,
Pia wapo mafundi wazuri na waaminifu!
Shukrani mkuu
 
Nisaidie bei za nyavu za dirishani Ngumu na laini za kuzuia mbu
Shilingi ngapi kwa rola
 
15000 andka huku 40
 
Nisaidie bei za nyavu za dirishani Ngumu na laini za kuzuia mbu
Shilingi ngapi kwa rola
Mkuu

Wiki mbili zimepita, nilinunua rola moja ya nyavu ngumu yenye urefu wa mita 25 kwa Tshs 100,000 na wavu laini nilinunua kwa Tshs 45,000.

Hivi vyote nilivipata duka moja moja pale Kariakoo limeandikwa Luvanda Harware. Bahati mbaya ule mtaa siufahamu kwa jina. Ila kama unatokea TRA ya Kipata unaelekea mitaa ya Kariakoo nyoosha na huo mtaa utaliona hilo duka.
 
Back
Top Bottom