nimemaliza diploma mwaka huu nimeapply vyuo kadhaa mpaka mda huu sijapata majib bado profile yangu inaonesha checking in progress baada ya kuuliza nikaambiwa et one among liquirements ya kujiunga elim ya juu ni kuwa na pass 5 za o level na mm ninazo 3 kuna ukwel juu ya hilo wakuu tafadhalini.