ven1965 Member Joined May 11, 2018 Posts 74 Reaction score 143 Apr 11, 2024 #1 Habari zenu wadau, Nilikuwa naomba msaada mwenye ujuzi na saloon za kike. Yaani muundo wake, gharama zake, changamoto zake na hata faida zake na mengneyo kwa ujumla.
Habari zenu wadau, Nilikuwa naomba msaada mwenye ujuzi na saloon za kike. Yaani muundo wake, gharama zake, changamoto zake na hata faida zake na mengneyo kwa ujumla.
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Apr 11, 2024 #2 ven1965 said: Habari zenu wadau, Nilikuwa naomba msaada mwenye ujuzi na saloon za kike. Yaani muundo wake, gharama zake, changamoto zake na hata faida zake na mengneyo kwa ujumla. Click to expand... Nyingi ni vijiwe vya kudangia tu, Kwa sasa ukimpata mtaalam wa make up ndio angalau unaweza kuiona biashara inayofanyika na kupamba maharusi.
ven1965 said: Habari zenu wadau, Nilikuwa naomba msaada mwenye ujuzi na saloon za kike. Yaani muundo wake, gharama zake, changamoto zake na hata faida zake na mengneyo kwa ujumla. Click to expand... Nyingi ni vijiwe vya kudangia tu, Kwa sasa ukimpata mtaalam wa make up ndio angalau unaweza kuiona biashara inayofanyika na kupamba maharusi.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 11, 2024 #3 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
ven1965 Member Joined May 11, 2018 Posts 74 Reaction score 143 Apr 11, 2024 Thread starter #4 Dr Matola PhD said: Nyingi ni vijiwe vya kudangia tu, Kwa sasa ukimpata mtaalam wa make up ndio angalau unaweza kuiona biashara inayofanyika na kupamba maharusi. Click to expand... Ioooo ya maharusi imekaaa poa sana
Dr Matola PhD said: Nyingi ni vijiwe vya kudangia tu, Kwa sasa ukimpata mtaalam wa make up ndio angalau unaweza kuiona biashara inayofanyika na kupamba maharusi. Click to expand... Ioooo ya maharusi imekaaa poa sana