MSAADA WA KULAINISHA LIPS

MSAADA WA KULAINISHA LIPS

Almachus

Member
Joined
Dec 15, 2017
Posts
56
Reaction score
12
Nawasalim wana JF.
Mimi ni kijana wa miaka 20,nina tatizo moja.
Lips zangu(midomo) ni nyeusi hivyo naombeni msaada wa kuzifanya kuwa na mwonekano mzuri na laini tafadhali
 
Weka blue band kwenye lips ukilala, hii nimeipata kwa bibi wa ki-Pakistan.
 
Unataka kujichubua lips?!


Kweli kila mtu na hitaji lake
 
Back
Top Bottom