Msaada wa kumjua faru John.

faru John ni kijana aliyezaliwa na Hamisi na Betty. Alizaliwa mwaka 1978
 
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji126]
 
Faru John Amekuwa Maarufu Kuliko Hata Mimi Utasema Alikuwa Wa Maana Bora Afe Tu
 
Jibu lingekuwepo nadhani kamati ya uchunguzi isingeundwa...
 
Kuna mfanyakazi TANAPA kaniambia faru JoHN alikuwa anapiga mashine mpaka moshi mweupe unatoka kwenye mashine ya jike
 
Njoo nyumbani tudiskasi hii issue.......hata mimi inanichanganya sana........where is our johnny......
johnny ooooooo johnny eeeeeeeeeh........
Preta ata mm inanichanganya zaidi sa cjuh nije tuuu tudiskasi wote
 
Sasa hivi kuna Faru Fausta [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Njoo nyumbani tudiskasi hii issue.......hata mimi inanichanganya sana........where is our johnny......
johnny ooooooo johnny eeeeeeeeeh........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna mafaru john hawa hapa chagua mmoja..
FaruJonii
FaruJonii
FaruJohn
farujoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…