Msaada wa kumpata fundi/gereji wa nissan hard body hapa Dar

possible

Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
55
Reaction score
60
Poleni na Majukumu ya kila siku.

Changamoto niliyonayo ni jinsi gani ya kupata fundi/gereji nzuri ya nissan hardbody hapa dar ambayo imepack kama miezi sita.Hapo awali ilikuwa iko poa tu,tatizo niliposafiri hapakuwa na mtu wa kuwa anaiwasha kila siku asubuhi.

Naomba mwenye kujua fundi mbobobezi wa pick up anisaidie .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…