Wakuu habari. Naomba anayefahamu anakopatikana specialist wa matatizo ya wanawake hasa ya uzazi (gynaecologist) anisaidie. Itakuwa vizuri zaidi akiwa hapa Dar. Msaada wenu wakuu wife anataabika! Unaweza kuweka hapa au PM.
Yupo Daktari wa Muhimbili ambaye akiona tatizo zaidi anakuandikia kinote mnakutana pale Muhimbili, hospitali yake iko karibia na junction ya kwenda Masaki kama unaelekea Mwenge ni upande wa kushoto sikumbuki panaitwaje. Pole sana