Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Naomba msaada wa kumpata kiurahis zaid mheshimiwa mbunge wa viti maalum kupitia ccm vick kamata kama kuna mtu anapajua kwake au nyumban kwake naomba anambia, kama utakuwa na namba yake nitumie pm naomben sana jaman muweze kunisaidia kuhusu hilo
Au hata kama wewe mama yangu mheshimiwa utapata ujumbe huu naomba nitafute au nifate pm nakuomba sana
LONDON BABY