Habari.
Nimedhamiria kufungua kesi kuishitaki taasisi ya mikopo ya faidika kwa kufoji mwandiko wangu na kunikata makato makubwa zaidi ya kiwango tulichokubaliana. Kwa sasa sina fedha ya kuendesha kesi, lakin tukishinda fidia ndo tutakata. 0714408238.