Msaada wa kumpendezesha.

Msaada wa kumpendezesha.

wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
2,930
Reaction score
3,305
hellow g.t...jaman tumekuwa tukiomba jukwaa la urembo bila mafanikio, sasa nisaidieni hapa hapa...SHEMEJI/WIFI YENU KANIOMBA NIMPELEKEE CREAM NA LOTION NA SABUNI....But viwe ni vile vinavyofanya ngozi(uso)uwe laiiini na nyororo, na ng'aavu (SIO KUCHUBUA NGOZI), Nisaidieni kunitajia hapa wapendwa and i think itakuwa msaada hata kwa wengine...karibun mjuao.
 
Unajua ngozi zinatofautiana,sio lazima kinachonipendezesha mie na yeye kitampendezesha!.
 
Muulize boifrend wake wa zamani alikuwaga anamnunulia nini,lol!
Mbona hujalalama umepigwa mzinga, ama ww unapenda?
 
hivi Ashanti bado zinapatikana? ilikuwa inanifaa sana uso wangu
 
Muulize boifrend wake wa zamani alikuwaga anamnunulia nini,lol!
Mbona hujalalama umepigwa mzinga, ama ww unapenda?

i lv her so much, coz she gives wat i ask so it iz a mutual love...
 
Top lemon..mh! lkn acjaribu..mwmbie akutajie alivyozoea ku2mia au hajawahi ha! ha!...
 
Back
Top Bottom