Msaada wa kumtambua huyu ndugu pichani

Msaada wa kumtambua huyu ndugu pichani

Program Manager

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
2,763
Reaction score
3,955
Anaitwa NASSORO IDDY IGALAWA ni dereva amepatwa na umauti leo maeneo ya mbangamawe alikuwa na gari NOAH amby bado haijasajiliwa lakini documents zinaonyesha alikuwa anapeleka gari msumbiji.

Mwili upo hospital ya mkoa ruvuma (HOMSO) mpaka sasa hivi hatujapata mawasiliano ya ndugu kwasababu marehemu ameletwa hana simu.

Tunaomba tusaidiane kusambaza hii taarifa.

Namba ya hospital +255737683544
IMG-20241111-WA0067.jpg
 
915dd4eb-7aa2-49e0-9338-c8caa52ad029.jpg

Anaitwa NASSORO IDDY IGALAWA ni dereva amepatwa na umauti leo maeneo ya mbangamawe alikuwa na gari NOAH amby bado haijasajiliwa lakini documents zinaonyesha alikuwa anapeleka gari msumbiji.

Mwili upo hospital ya mkoa ruvuma (HOMSO) mpaka sasa hivi hatujapata mawasiliano ya ndugu kwasababu marehemu ameletwa hana simu.

Tunaomba tusaidiane kusambaza hii taarifa.

Namba ya hospital +255737683544
 
Hii miezi nimepata taarifa ya vifo vingi barabarani, tuwe makini ndugu zangu... Sijui ni safari nyingi mwisho wa mwaka? Au ndio kama watu wanavyoamini katika nguvu za mwanga? Kitu ambacho siamini...

Anyways tuwe makini safarini mwisho wa mwaka...
 
Back
Top Bottom