Msaada wa kumuangamiza Candidas Auris

Msaada wa kumuangamiza Candidas Auris

MONEY IS NOT EVERYTHING

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2024
Posts
424
Reaction score
765
Wakuu poleni na majukumu..msaada wa kumuangamiza huyu "Candidas Auris" amekuwa akimsumbua mke wangu yapata miaka mitatu sasa tangu ajifungue kwa kisu...anatibiwa anaonekana kupona lakini baadaye analudia hali ile ile.

Je, huyu "Candidas Auris"anatibika na kama anatibika mbona hafi? msaada madaktari mchango wenu ni muhimu sana.
 
Wakuu poleni na majukumu..msaada wa kumuangamiza huyu "Candidas Auris" amekuwa akimsumbua mke wangu yapata miaka mitatu sasa tangu ajifungue kwa kisu...anatibiwa anaonekana kupona lakin baadaye analudia hali ile ile..Je, huyu "Candidas Auris"anatibika na kama anatibika mbona hafi? msaada madaktari mchango wenu ni muhimu sana.
Pole sana
Ni muhimu akaonana na daktari kwa ajili ya uchunguzi na vipimo zaidi. Pia ni muhimu sana akaepuka kupiga deki (douching) kama anafanya hivyo kwa sababu husababisha hali hiyo kujirudiarudia.
Kila la kheri.
 
Lazima tu atakuwa anajidunga masindano ya uzazi au madawa ya kuzuia mimba.

Kabla hajatafuta tiba ya fungus, hakikisha anaacha vitu vyote ambavyo sio asili ya mwili.
 
Jitahidi kupata hospitali kubwa na kama una bima itasaidia kufanya vipimo vya kutosha.

Kuna wakati watu wanashindwa kufanya vipimo tofauti kutokana na gharama za vipimo.
 
Back
Top Bottom