MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 424
- 765
Pole sanaWakuu poleni na majukumu..msaada wa kumuangamiza huyu "Candidas Auris" amekuwa akimsumbua mke wangu yapata miaka mitatu sasa tangu ajifungue kwa kisu...anatibiwa anaonekana kupona lakin baadaye analudia hali ile ile..Je, huyu "Candidas Auris"anatibika na kama anatibika mbona hafi? msaada madaktari mchango wenu ni muhimu sana.