Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
umekosea kidogo tuBabaake
mbona unabahatisha bwashee jibu jibu moja basishangazi wa kiume au mjomba
ukipatia jibu utaijua tuZawadi gani unatoa?
ukipatia jibu utaijua tu
mjombaumekosea kidogo tu
mbona unabahatisha bwashee jibu jibu moja basi
ukipatia jibu utaijua tu
ahahaha, bado kidogo umiza tena kichwaaaBaba wa mtoto
baridaaa!Mhh, siwezi kujihangaisha wakati hata zawadi siijui.
noma sana, umepatiamjomba
umekosea, umiza tena kichwaaNi baba wa huyo mtoto
Hapo Maiti ni Mjomba meaning mume wa mke ni shemeji mtu na mjomba. so mjomba na mke wa maiti ni mtu na kaka yake. means dada mtu wa mjomba ni shangazi au mama mdogo, mume wa mama mdogo/shangazi nae ni baba mdogo/mjomba.Happy Monday Guys!
hapa leo nawaletea kitu cha kuchangamsha bongo;
swali linasema:
KUNA MTOTO ALIKUWA ANALIA JUU YA KABURI, ALIPOULIZWA UNALIA NINI AKAJIBU:
"KAKA WA MKE WA MAITI ni MJOMBA WANGU"
JE MAITI NI NANI?
MSAADA WENU PLZ NAOMBENI JIBU, UKIPATIA NAKUPA ZAWADI 😛
sasa nipe zawadi yangu na mimi napendaga papuchi tuahahaha, bado kidogo umiza tena kichwaaa
baridaaa!
noma sana, umepatia
NABasi ni mjomba ake
Hapo Maiti ni Mjomba meaning mume wa mke ni shemeji mtu na mjomba. so mjomba na mke wa maiti ni mtu na kaka yake. means dada mtu wa mjomba ni shangazi au mama mdogo, mume wa mama mdogo/shangazi nae ni baba mdogo/mjomba.
Have a blessed Monday 1st Class beeeeeyyyyyaaaach
AHAHAHAHABashite
UMEKOSEAAANi baba yake wa Kambo.!
DU!sasa nipe zawadi yangu na mimi napendaga papuchi tu