Msaada wa kungwi wa kimakonde kwaajili ya mpenzi wangu

Black Opal

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2023
Posts
233
Reaction score
298
Wakuu,

Kichwa kinajieleza. Wamakonde wanasika kwa haya mambo, sasa namtafutia manzi wangu kungwi wa uhakika aongeze ujuzi.

Mambo ya jando na unyago yapo kwenye makabila machache sana ikiwepo hawa wamakonde nadhani, sasa wenye tuna wapenzi hawana hizo mambo tunakosa vitu, natamani huyu mwenzangu apate vikolombwezo tunogeshe mapenzi, lakini sijui pa kuanzia wakuu.

Msaada kwa anayejua ninakoweza fanikisha hili, gharama iwe ya kitanzania tafadhali.
 
Nipe namba yake nimpe darasa wiki tu inatosha yeye kuwa pambe afu gharama ya kawaida sana ๐Ÿ˜Š
 
Vipi ukimwelekeza taratibu,maana unaweza kumtafutia maujuzi akaona na wewe humridhishi,mi nadhani kupitia kujisomea na kufundishana mnaweza kujua vitu vingi zaidi

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Najua kuna wadada wanasoma hapa ili wapate koneksheni๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 
Mfundishe kama unavijuaโ€ฆ mnafanya trial and errors hadi aweze kugraduate.

All the bestโ€ฆ
 
Wa Cuba washaelewa๐Ÿ˜‰

Niletee basi kungwi nipo malipo yanazungumzika usijali, lakini ujitahidi kwenda nae sawa upige mashine kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

NB; Akishafuzu, kupiga mechi za kirafiki viwanja vingine km samaki na maji
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Achana na story za jf, unayoyasoma humu kama huyaoni Kwa manzi yako sio kwamba hajui sema wasimuliaji ni mafundi wa kuelezea lkn kwenye battlefield kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ