Msaada wa kunlock airtel zlt M30 pocket MiFi

Utachangia Bando?
utumiwe app ya ku-unlock hiyo mifi
Firmware ya ku install kwenye hiyo mifi
Na maelekezo step by step jinsi ya ku unlock
0765447055

Kikubwa uwe na pc na bando la kufanya hii ka
 
Kwahiyo ukaona Unitapeli hiyo elfu 12.. Ndiyo mana vijana hamfanikiwi kwakukosa uaminifu kwenye vitu vidogo vidogo..
 
Imekuwaje tena mkuu?
Jamaa nilimpigia simu tukapeana maelekezo then akaniambia gharama ni elfu 12.. Nimtumie ili aweze kupata data za kudownload file/software

Nilipomtumia badala aseme amepata.. Ikawa mpaka nimpigie Mimi.

Nikampigia akasema amepata.. Akaniomba nimtumie picha ya details ya nyuma ya MiFi whatsapp.

Nilipomtumia tu.. Simu ikawa haipatikani tena na wala ile picha haionekani kama ilifika kwake (blue tick)

Na huku jamii forum gafla account yake haionekani kama ipo.. Yaani kama kajitoa..
 
Shida mkuu
Yaani 12k tu ndiyo inafanya vijana wanakosa uaminifu namna hiyo
 
Kazi haiwezi ilikuwa ni njaa tu..😂😂😂
 
Tuma hiyo picha ya mifi details hapa usaidiwe
 
Shida mkuu
Yaani 12k tu ndiyo inafanya vijana wanakosa uaminifu namna hiyo
Shangaa!!
Kuna mwamba humu humu kwenye majukwaa ya jamii forum hakuwa na tamaa yeye alifanya kazi nikaja kumlipa baada ya kazi.. Tena ilikuwa router ya 5G

Uaminifu alioufanya na kuniamini nilimlipa zaidi.

Mpaka leo Yule jamaa amekuwa MTU wangu wa nguvu.. Siyo hizi takataka zenye njaa za k***ge
 
Watanzania baadhi wanafanya wengine wasiaminike kabjsa
Sasa huyu hiyo 12k itamfikisha wapi? Na pennine alishatumia na sasa hata jf anaingia kama mwizi
 
Jamaa nilimpigia simu tukapeana maelekezo then akaniambia gharama ni elfu 12.. Nimtumie ili aweze kupata data za kudownload file/software

Nilipomtumia badala aseme amepata.. Ikawa mpaka nimpigie Mimi.

Nikampigia akasema amepata.. Akaniomba nimtumie picha ya details ya nyuma ya MiFi whatsapp.

Nilipomtumia tu.. Simu ikawa haipatikani tena na wala ile picha haionekani kama ilifika kwake (blue tick)

Na huku jamii forum gafla account yake haionekani kama ipo.. Yaani kama kajitoa..
Pole sana. Tamaa mwisho wake huwa mbaya.
 
Mkuu Pole sana ... Mtoto wa kiume unatapeli 12k? Shawainii bangadesh kimpimpooo.

Kwa mamlaka niliyonayo natamka kama alivyotapeli 12k, namrudisha nyuma kimaendeleo hatua 12 kwa miezi yote 12 ya Mwaka 2025.

Slide
 
Back
Top Bottom