Msaada wa kunlock simu

Msaada wa kunlock simu

Joined
Jun 12, 2024
Posts
28
Reaction score
38
Wakuu za majukumu.najua hamjambo,kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nilinunua simu aina digit4g energy kutaka vodacom lakni yenyewe ni smart kitochi.

Sasa simu hii lazima uweke laini ya voda ndo laini ingine isome.kwahiyo nilikuwa naomba kama kuna yeyote anaejua au mtaalamu naomba anisaidie.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom