the child ana wiki tatu, na jamaa yuko mkoani, hatuko dsm...
Mpeleke pale muhimbili kitengo cha moi wanamtibu na yataisha kabisa.Mimi mtoto wangu alizaliwa na tatizo la mguu na angekuwa mlemavu lakini nilimpeleka pale na wakamtibu lile tatizo.wakati huo alikuwa na miez saba ila sasa ana miaka nane huwezi jua kama alikuwa na tatizo la miguu
the child ana wiki tatu, na jamaa yuko mkoani, hatuko dsm...
mpe juice ya carrot kwa wingi,hata chakula anachokula pia mchanganyie na carrot,ndugu yangu alitumia sn hvyo kwa mwanae alishauriwa,ss hv huwezi kumjua km alikuwa na matege