Msaada wa kuondoa makovu

Msaada wa kuondoa makovu

niney

Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
9
Reaction score
0
Habari wana Jamii? naombeni ushauri wenu nitumie nini kuondoa makovu miguuni? nina makovu makubwa miguuni nimejaribu kutumia hasari lakini haijasaidia kabisa. msaada jamani
 
Makovu ya kuungua au yapi mana kuna mengine hayana tiba labda operation
 
Makovu ya kuchomwa na miti na kuanguka wapendwa
 
mi nlikuwa naangali tu dokta kujeni tumuoko mwananetu.
 
Piga picha weka ili iwe rahisi. Makovu mara nyingi yanatoka kwa upasuaji na ni gharama sana
 
anza na Google kwanza nifunze zaidi then uje na alternatives watakushauri from their own experiences
 
Back
Top Bottom