Parachichi
JF-Expert Member
- Jul 22, 2008
- 510
- 102
Wadau heshima mbele!mimi ni mteja wa TIGO wa long time!sasa nina tatizo kuna hizi mesej zao za promotion,kuna kijana wangu ali subscribe sasa zimekua kero kila siku zinakuja 5 na kila moja ni Tshs 135+VAT!nimejaribu ku block nimeshindwa!kuwapigia TIGO customer care hawapokei simu!kila nikiweka vijisent vyangu nitume sms za maana zinaliwa na hizo za promo zao!
Tafadhalini sana wadau naomba mwenye ufahamu wa kuzisitisha anijuze!najua kuna wengine humu nao wanahitaji msaada kama wangu!
Na nyie TIGO mnapotoa hizo promo zenu pia mueleweshe jinsi ya ku unsubscribe!
Nawasilisha kwa msaada zaidi
Hello mdau, kama unataka kujiondoa kwenye huduma hiyo, tuma neno "CANCEL" kwenda kwenye hiyo namba message ilipotoka.
Mfano tuma "CANCEL" kwenda 15513 na kadhalika. Hapo utaondolewa kwenye hiyo huduma..
Asante mzee George!aisee mimi ninayo inatoka kwenye number 15501 inahusu mambo ya BAHATI!naomba umwage hiyo kitu hapa jamvini manake najua ni walalahoi wenzangu wengi wanakereka na hizo msg za hao jamaa.
Nasubiri jibu kwa hamu na shauku kubwa mno,im tired mkuu!
Nawasilisha