Wewe mkuu inaonekana una tatizo una download vitu kwenye net bila kujua kazi yake. Hiyo meesage unaipata sababu ulidownload na kuistall application inaitwa "Windows Genuine Advantage Notifications application" kutoka site ya microsoft.
Ni sawa sawa umeuziwa simu na teja alafu unaipeleka polisi kuuliza kama si ya wizi.
Watu kibao wanatumia pirated version ya mircosoft ya XP bila tatizo. Usidowload tu software na kuisntall bila kujua zifanya kazi gani.
Jaribu ku
gugo utapata solution tu mfano jaribu hayo maelekezo ya huyo jamaa wa youtube. Kwa Xp sio issue kubwa kama window 7. baadi ya gugo solution niliyopata ni
I MANUAL REMOVAL OPTION
1. Before doing anything serious try restoring your system. If the problem is occurring after the Windows Update then
System Restore will surely help. So restore system yako kwenye tarehe kabla hili tatizo halijaanza.
2. But if it does not then do try this, launch Windows
Task Manager.
3. Locate the process "
wgatray.exe" and end it.
4. Restart the laptop in
Safe Mode and delete the file WgaTray.exe from c:\Windows\System32
5. Also delete the WgaTray.exe from c:\Windows\System32\dllcache
6. Type regedit in Run to open Registry Editor, navigate to
HKEY_LOCAL_MACHINE\SOFTWARE\Microsoft\Windows NT\CurrentVersion\Winlogon\Notify key.
7. Delete the folder
WgaLogon and all of its contents.
8. Restart the PC normally.
II AUTOMATIC REMOVAL OPTION
Process hizo juu zinaweza kufanyika Automatically ukidowload tool inatwa "
WGA remover tool ". So download
RemoveWGA.exe, and run it
Otherwise
Unaweza tembelea hii site utapa dawa
http://thepiratebay.org/torrent/5070660/WGA.OGA.march.2009.(v28).1.9.40.0
Alafu nimetumia kama 1 hr nafanya kazi yako. Man hour charge yangu ni 1,000 Tsh
Teh teh Teh
Good luck