mawelewele
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 277
- 135
hakika tatizo hili,limekuwa km ni kawaida kwa vijana wadogo,kutokwa na viparavmiaka ya karibu,tofauti na zamani ambapo MTU akiwa na kipara h uwa na umri Wa 50s,anayefahamu Dawa jamani,hebu njooni kwenye huu Uzi,ili mtoe msaada.