Jicholamwewe
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 375
- 465
Laboratory assistant in generalUna ujuzi gani
Nimejalibu sana mkuu .na hata nimejalibu kumfata MTU mmoja mmoja ambao nahisi watakuwa msaada lakn badoA quick search ungepata majibu yako badala ya kufungua uzi mwingine, tumejadili sana humu hayo mambo.
Tembelea page ya EBM Scholar youtube anaongelea hayo mambo zaidi. Good luck
Nimejalibu sana mkuu .na hata nimejalibu kumfata MTU mmoja mmoja ambao nahisi watakuwa msaada lakn bado
Kwa hapa nchini unaweza kupata nafasi ya kujishikiza; kwa nje ya nchi jaribu Italy na zinginezo, ni vizuri pia unapoomba hizo kazi uwe na 'passport pamoja na 'working permit', kwa sababu unapoomba online wataitaji namba za rejea.Laboratory assistant in general
Uliye ingia huko basi ungeweza mdondoshea ata kidogo ili apate kwa kuanziaA quick search ungepata majibu yako badala ya kufungua uzi mwingine, tumejadili sana humu hayo mambo.
Tembelea page ya EBM Scholar youtube anaongelea hayo mambo zaidi. Good luck
NdioUmejaribu nini? Wapi?
Umejaribu kutafuta nyuzi hapa JF? Umemfuatilia EBM youtube?
Passport ninayo mkuuKwa hapa nchini unaweza kupata nafasi ya kujishikiza; kwa nje ya nchi jaribu Italy na zinginezo, ni vizuri pia unapoomba hizo kazi uwe na 'passport pamoja na 'working permit', kwa sababu unapoomba online wataitaji namba za rejea.
Asante sana mkuuUkiwa na pesa mengine ni story kama katika muvi...
Pesa ya nauli na pesa ya kuishi kwa wakati fulani wakati una pambana na baridi na kutafuta kazi
Nchi zipo nyingi za kwenda kuanza kutafuta maisha ni wewe kujifunza kwa kina kuhusu nchi husika
Anza kutafuta list ya nchi unazo taka kwenda, baada ya hapo anza kuichambua nchi moja moja kwa kina kuhusu mambo mbalimbali kama Afya, kazi/ajira, elimu, nk
Pia angalia taratibu za kuingia nchi hiyo zipoje kwa raia wa Tanzania na uanze kufanyia kazi kila eneo ambalo unaweza
Bila kusahau juu ya ubalozi wao uliopo Tanzania na kama hawana una angalia ubalozi wao wa karibu au ubalozi unao fanya kazi hizo kwa niaba yao ktk yako Au nchi ulipo
Bima ni kitu cha msingi na kuipata haina makeke mengi sana
Mwaliko sio tatizo
Bank statement itabidi uitafute kwa namna unavyoweza na utafanikiwa
Ticket ni tafuta nauli ya kutembea au kukwea pipa, kulingana na nchi unayotaka kwenda kuangalia ustawi wa maisha yako
Accommodation sio ishu sababu utaenda kukaa mitaani hivyo utaangalia namna ya kufanya kukwepa hapa na ina wezekana pia
Yani kila kitu kina wezekana ukituliza akili na kujipanga ata kama itakuchukua mwaka mzima Au miaka miwili kuondoka kwa nguvu zako na mengine ytakutana nayo huko mbele ya Safari
Nikwel kabisa,kukosa pesa ndo kunatufanya tuwe hiviUkiwa na pesa mengine ni story kama katika muvi...

Kuna jamaa anataka aniconnect kwenda Canada kisha US ,yeye alishaishi US na familia yake Iko huko .Alipata tatizo akarudi ila saa hizi yuko Canada kisha ataingia state.Anasema uwe na pasport na fare 4.5 m unaingia Canada.Wakuu poleni kwa majukumu.bila kupoteza mda .naomba yeyote mwenye connection au anayefaham connection za kwenda nje ya nchi.Europe,usa pia Canada.naomba anisaidie kazi yoyote nitafanya hata kubeba box.namejalibu sana kuapply kazi lakani bado sijafanikiwa na bado sijakata tamaa.picha hapo juu ni njinsi navyo apply lkn bila mafanikio.namiaka 24 naombeni atakaye guswa na jambo hili anisaidie hata mawazo namna gani nitatikiza lengo hili.asanteni sana
View attachment 2535781