AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
kampuni yetu tumeamua kuibadilisha toka unlimited to limited vivyo tunaitajika kuandaa taarifa za kifedha AUDITED .
Naomba msaada wa kupata CPA ambaye anaweza kuniandalia mahesabu .
naomba tuma inbox contacts kama wewe ni CPA na kama waweza pia kunisaidia
kumpata CPA mwenye kampuni ya mahesabu.usisite kunitajia hapa.