Msaada wa kupata consultants

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
kampuni yetu tumeamua kuibadilisha toka unlimited to limited vivyo tunaitajika kuandaa taarifa za kifedha AUDITED .

Naomba msaada wa kupata CPA ambaye anaweza kuniandalia mahesabu .

naomba tuma inbox contacts kama wewe ni CPA na kama waweza pia kunisaidia
kumpata CPA mwenye kampuni ya mahesabu.usisite kunitajia hapa.
 
Kuna mtu mwenye experience kubwa kuhusu hiyo ishu ya auditing. I'm sure akikufanyia kazi hutojutia kumfahamu hata kidogo.
 
Mcheki huyu anaitwa Kabonaki...0784359290 atakuandalia vema , huwa tunamtumia ktk consultancy firm yetu
 
mpigie huyu 0655444498 anaitwa julius yupo vzr kwny auditing nimefanyanae kaz za auditing mimi nikiwa nagonga mambo ya kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…