Kijuram JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 513 Reaction score 374 Dec 17, 2015 #1 Salama waungwana? Kwa anaefahamu wapi katika jiji la Dar es Salaam anapatikana daktari mtaalamu wa afya ya uzazi na magonjwa ya wanaume. Nahitaji daktari wa kisayansi sio wa tiba za kienyeji au tiba mbadala.
Salama waungwana? Kwa anaefahamu wapi katika jiji la Dar es Salaam anapatikana daktari mtaalamu wa afya ya uzazi na magonjwa ya wanaume. Nahitaji daktari wa kisayansi sio wa tiba za kienyeji au tiba mbadala.
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Dec 17, 2015 #2 Agha Khan yupo daktari full time kuanzia saa mbili asubuhi to saa kumi jioni. Nadhani na tmj na msasani peninsula hospital pia. Ulizia urologist utampata. Kwa urahisi zaidi google namba ya hospitali upige na kupata maelezo zaidi.
Agha Khan yupo daktari full time kuanzia saa mbili asubuhi to saa kumi jioni. Nadhani na tmj na msasani peninsula hospital pia. Ulizia urologist utampata. Kwa urahisi zaidi google namba ya hospitali upige na kupata maelezo zaidi.
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,403 Reaction score 12,775 Dec 18, 2015 #3 Mwone Kigwa!
Kijuram JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 513 Reaction score 374 Dec 18, 2015 Thread starter #4 Asanteni kwa michango yenu waungwana. Nitaifanyia kazi.