Thelionden
Senior Member
- Apr 7, 2018
- 165
- 160
Wakuu habarini za kazi, baada ya kupata ushauri Mzuri wa gari ya kununua ambapo wadau wangi walinishauri nichukue mnyama Carina Ti sasa ninakuja tena na msaada mwingine wa kupata gari hii ambayo itakuwa na hali hii hapa na kwa bei nitakayotaja hapa kwani sina ubavu wa kuagiza.
1. Badi iwe nzima ambayo haijahongwa kuongezea rangi naweza kama itakuwa haijakaa vizuri.
2.engine iwe kwenye hali nzuri (iwe haijafunguliwa) na iwe na uwezo kwa kupiga masafa ya dar- songea.
3.zile warning signs za kwenye dash board ziwe zinafanyakazi zote vizuri.
4.kifupi gari liwe kwenye hali nzuri ya kutumika na sio lenye ugonjwa wa kunitesa.
5. Dau langu ni kuanzia Tsh. 4,500,000/= mpaka Tsh.5,500,000/= kutegemea na ubora wa chombo chenyewe.
Natanguliza shukrani zangu za dhati hasa kwa wadau wenye kujua wapi nitapata msaada au kunisaidia wao direct hasa wanaotumia gari hii na labda wanataka kubadirisha.
Asanteni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app