Wakuu naomba msaada wa nakala ya gazeti la serikali kama nilitaja hapo juu japo tarehe nimesahau. Lanahusu kufutwa klwa baadhi ya vipengere vya standing order ya mwaka 2009
Ushauri:
Nenda kwa boss wako mwambie akupe, ni haki yako kuwa nayo. Kama boss hana nenda kwa RAS yeyote aliyekaribu nawe, mwambie akupatie vinginevyo nenda ofisi za Government printer utapata nakala yako kwa bei nafuu sana.