Habari wakuu,
Nafuatilia passport uhamiaji. Naomba kujulishwa sehemu ambapo ntapata mwanasheria ambaye atanishughulikia kupata hati ya kiapo (Affidavit). Na gharama yake ikoje. Na kama kuna uuwezekano naomba na contacts zao kwa mawasiliano zaidi.
Asante.
Nenda mahakamani wanakupatia kwa gharama ya elfu 5 tuuu au 10 ikizidi sanaHabari wakuu,