Habarini wanaJF
Natumai nyote mko bombastic au sio.
Naomba kuuliza kama kuna softcopy au hardcopy ya hivi vitabu viwili mtu anaweza akashea nami
AGORO ANDURU - TEMPTETATION AND OTHER STORIES
LAWI JOEL - YOUR ROOTS GRANDSON AND OTHER STORIES pia kama unavyo vingine vya waandishi hawa wawili please
NI vitabu vyenye hadithi bomba sana.
AMENO...