Msaada wa kupata hizi gari

Msaada wa kupata hizi gari

TURTEKING

Senior Member
Joined
Nov 4, 2020
Posts
120
Reaction score
201
Masaada wana JF Nahitaji gari ya hesabu kufanyia kazi ya tax mtandaoni bolt/uber isiwe juu ya ccc1490 ikiwa chini ya ccc1290 itakuwa vizuri zaidi ikiwa brand ambazo zimezoeleka kwenye hizi kazi za tax mtandaoni itakuwa vizuri pia.

  • PASSO
  • VITZ
  • RAUM
  • IST
  • FUNCRAGO
  • SIENTA
  • PORTE
n.k

Gari ni ya hesabu ikiwa kwenye mazingira mazuri zaidi ndio hesabu inakuwa nzuri zaidi haswa ikiwa imesajiliwa kibiashara ikiwa na bima na latra ila hata private ni sawa.

Kwa mwenye hizo gari tajwa hapo juu au ambayo unahisi gari yake inaweza fanya hiyo kazi ya tax mtandaoni ambaye yupo tayari kunipa niwe namletea hesabu anakaribishwa.

Napatikana tegeta kwa ndevu
0783231177
0656539177

Asanteni.
 
1. Weka wazi mwenye gari atafaidika na kiasi gani kwa siku/wiki.
2. Aina ya gari gani itamlipa mwenye gari kiasi gani cha pesa.
3. Utaendesha gari masaa mangapi kwa siku moja (24hrs).
4. Matengenezo madogo na makubwa atafanya nani.
5. Gari itakua inapaki/inalala wapi au kwa nani kati yenu.
6. Siku gani gari itakua inapumzika.
7. Dhamana yako ni nini ama mdhamini wako nani.
 
📌
 
Nimeweka wazi baadhi ya vitu makubaliano kama hayo ni kati yangu na mwenye gari kila mtu ana taratibu na vigezo vyake kwaiyo mm ntamsikiliza mwenye gari anatakaje kama ntaiweza nachukua kwa makubaliano yale aliyetaka
Kuhusu hesabu inategemea na gari ndio maana nimeweka hivyo unaweza nila gari siyo ya biahshara nikawa nafanya kazi usiku hapo hesabu inapungua inawezekana nikapata gari ya biashara ambayo ntafanya kazi mda wote pia hesabu inaongezeka
Kaka kila mtu ana masharti yake mtu anaweza kukuambia gari yangu ina lala kwangu lakini mwingine anakupa uhuru wa kukaa nalo gari ww una mletea hesabu yake
Matengenezo inategemea inaweza kuwa juu yako hesabu inakuwa chini au juu yake hesabu inakuwa juu

KWAIYO KAKA LAZIMA NIJUE NAPEWA GARI GARI NA LINA HALI GANI ALAFU NIPEWE MASHARTI YA MWENYE GARI
HESABU HUWA KUANZIA LAKI MOJA MPK LAKI NA NUSU note: hapo inategemea na gari mkuu siwezi kusema ntalete shi ngapi wakati sijuin natapata gari gani
 
Kwa mwenye akili timamu akisoma ulicho kiandika, nina uhakika hawezi kukupa mkebe.
By the way, yawezekana umekosa magari kwa sababu ya ujuaji kama huu.
 
Kwa mwenye akili timamu akisoma ukicho kiandika, nina uhakika hawezi kukuoa mkebe.
By the way, yawezekana umekosa magari kwa sababu ya ujuaji kama huu.
Nashukuru labda ungekuwa na uelewa wa hizi kazi kwanza ndio ungenielewa nilicho kiandika
 
Nashukuru labda ungekuwa na uelewa wa hizi kazi kwanza ndio ungenielewa nilicho kiandika
Kwahiyo unajiona kama hiyo kazi inahitaji kufanywa na wenye akili kuuubwa...😂😂
Kwa maswali nilio kuuliza bilashaka ulipaswa uwe umepata mahibu kama nina uelewa na hizi vibarua ama lah...☺
 
Kwahiyo unajiona kama hiyo kazi inahitaji kufanywa na wenye akili kuuubwa...😂😂
Kwa maswali nilio kuuliza bilashaka ulipaswa uwe umepata mahibu kama nina uelewa na hizi vibarua ama lah...☺
kwa biashara hizo, roho ya paka ni ist tu. zingine utashinda gereji ukipiga kavumbi kadogo tu.
 
Kwahiyo unajiona kama hiyo kazi inahitaji kufanywa na wenye akili kuuubwa...[emoji23][emoji23]
Kwa maswali nilio kuuliza bilashaka ulipaswa uwe umepata mahibu kama nina uelewa na hizi vibarua ama lah...[emoji5]
Mkuu sisi ni vijana wapambanaji nimetumia lugha nyepesi kukuelewesha hizi kazi au watu wenye magari wengi ni watu wa kawaida tunaopambania mkate wa kila siku mkuu

1-mwenye gari atafaidika na nn kwa wiki au siku =sasa mm ntajibu nini ikiwa gari sijui lipo kwenye hali gani pia ni private(njano plate number ) au biashara (nyeupe plate number) uko juu nimekifafanulia gari linatakiwa liwe na kadi ya biashara plate namba nyeupe ndio linalo hitajika lkn pia unaweza kufanyia kazi na gari la kawaida binfsi pia ..lkn kwa mchana hutoweza kwa sababu kuna tra wakikukamata msala ila kibongo bongo watu wanakomaa kwaiyo basi tufanye mfano ili iwe rahisi kwako ukanipa ist ya biashara ina latra na bima inamaa imekamilika kila kitu hesabu ni 150000 ikiwa service kwako ila ikiwa service kwangu ni 120000 mpk 130000 kwa wiki hiyo hesabu pia ukinipa gari kama hilo lakini ni binfsi ina maaana ufanyaji wangu wa kazi utakuwa ni kuanzia jioni au mchana asubuhi kwa kuibia ibia kwaiyo sitakuwa huru nalo kufanya kazi mda wato wa siku hesabu inaweza kuwa 130000 service kwako 110000 mpk 100000 service juu yangu ....nadhan hapo tumamaliza

2- kuhusu aina ya gari nimeoa nisha pia hapo juu ndugu yangu gari inayoweza kufanya kazi ya tax mtandaoni hawachukui juu ya ccc1490 na hata ukiwa nayo juu ya hapo itakuwa hasara kwako kwenye mafuta ndio maana wanataka gari yenye ccc ndogo mkuu gari zilizozoeleka kwenye hizo kazi nimezitaja hapo juu sasa mm sijui utafaidika na gari gani kwakuwa sijui wewe unagari gani mkuu nadhan pia umeelewa ..

3-ndio maana inategemea na boss mkuu nimesema pia huku juu kuna mwingine mwaka mzima.mwezi.wiki.au kila siku gari linalala kwake inategemea wengine wanafunga GPS sasa hapo ni utashi wa boss mkuu sijui unanielewa mwingine akikupa gari hana mda na ww anataka hesabu yake mwingine gari linalala kwake sasa sijui ww unatakaje mkuu

4-iyo nishaeleza pia inategemea tajiri anatakaje afanye yeye umeongezee hesabu au ufanye ww akupunguzie hesabu hapo nimeeleweka

5-ilo pia nishajibu huku juu mkuj

6-hapo pia inategemea swala la kumpuzika mara nyingi linakuwa juu ya dereva yeye ndio anajua atapumzika lini na lini anaweza lala wiki nzima na hesabu akakuletea inategemea akichoka na atakavyi jisikia mwili wake kupumzika

7-mdhamin anaweza kuwepo barua za serikali ya mtaa kuandikishiana na vitu kama hivyo pia inategemea na boss mwingine anakupa tu gari kwakuwa ina gps mwingine mpk muandikishiane yeye ndio ataamua njia gani nzuri kwake kwa usalama wa gari lake

NADHANI NIMEJITAHIDI KUKUFAFANULIA MKUU
 
Back
Top Bottom