VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 2,987
- 1,954
naombeni msaada wa kupata nyaraka hizi: kanuni za kudumu kwa utumishi wa umma, 2009(standing orders for the public service, 2009) na kanuni za utumishi wa umma, 2003 (public service regulations, 2003)
nimejitahidi kuzitafuta sijazipata, hata kwenye website ya utumishi hakuna hizi nyaraka. tumaini langu ni kwenu wanajamvi.
asanteni
nimejitahidi kuzitafuta sijazipata, hata kwenye website ya utumishi hakuna hizi nyaraka. tumaini langu ni kwenu wanajamvi.
asanteni