Msaada wa kupata kibarua cha halali

Msaada wa kupata kibarua cha halali

both teams to score-YES

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2022
Posts
974
Reaction score
1,876
Habari wakuu,natumai nyote wazima.Nisiwachoshe niende katika mada.

Wakuu Mwenye connection zozote za kibarua au kazi ninaomba wakuu.

Nina hali mbaya sana.ninaishi na mama wakuu kheri nipate chochote kupitia kibarua ili mama ale hata mie nikikosa haina Shida.

Niko Mburahati, Dar es salaam.

Namba zangu ni 0780 594 569😞😞
 
Habari wakuu,natumai nyote wazima.Nisiwachoshe niende katika mada.
Wakuu Mwenye connection zozote za kibarua au kazi ninaomba wakuu.Nina hali mbaya sana.ninaishi na mama wakuu kheri nipate chochote kupitia kibarua ili mama ale hata mie nkikosa haina Shida.Niko Mburahati,Dar es salaam.Namba zangu ni 0780 594 569😞😞
Sasa wewe mwenyewe unajua kabisa kuwa utajiri unapatikana mwenye both teams to score....hapa unakuja kuomba msaada wa nini?
Haya hiyo line gani nikupe buku twenenth uweke both teams to score taifa stars vs ethioia
 
Shukrani mkuu Kwa maneno yako ya kuumiza!!!.Kua na busara at least.Hujui nayoyapitia,na hao ulowasaidia sio katika mimi.What if mdau mwenye nia nzuri akaona comment yako akadhani mie ndiye hao walioleta ujinga..
Mnaoneshaga huruma weeeeeee kumbe ujinga mtupu!

Nimetaka kuwasaidia watu saba hadi sasa JF kila mmoja anasemaga hivyo hivyo baada ya kuchukuliwa ujinga mtupu baadae
.
 
Back
Top Bottom