both teams to score-YES
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 974
- 1,876
Sasa wewe mwenyewe unajua kabisa kuwa utajiri unapatikana mwenye both teams to score....hapa unakuja kuomba msaada wa nini?Habari wakuu,natumai nyote wazima.Nisiwachoshe niende katika mada.
Wakuu Mwenye connection zozote za kibarua au kazi ninaomba wakuu.Nina hali mbaya sana.ninaishi na mama wakuu kheri nipate chochote kupitia kibarua ili mama ale hata mie nkikosa haina Shida.Niko Mburahati,Dar es salaam.Namba zangu ni 0780 594 569ππ
Airtel mkuu.Sasa wewe mwenyewe unajua kabisa kuwa utajiri unapatikana mwenye both teams to score....hapa unakuja kuomba msaada wa nini?
Haya hiyo line gani nikupe buku twenenth uweke both teams to score taifa stars vs ethioia
Shukrani mkuu.Kila la heri mkuu
aamiin shukraniUkafanikiwe
.Mnaoneshaga huruma weeeeeee kumbe ujinga mtupu!
Nimetaka kuwasaidia watu saba hadi sasa JF kila mmoja anasemaga hivyo hivyo baada ya kuchukuliwa ujinga mtupu baadae