Msaada wa kupata kioo cha Samsung galaxy S7 edge

Wisdom Flag

Member
Joined
Oct 16, 2018
Posts
28
Reaction score
18
Wakuu habari zenu,ni matumaini yangu mnaendelea vizuru Mungu atupe uzime hili janga lipite
Nina simu yangu ya Samsung Galaxy S7 edge imepasuka kioo Kam kun mtu yeyote anayeweza nisaidia kupata kioo Cha mkononi maana dukani kina Bei

NAOMBENI MSAADA WENU WADAU NA MAFUNDI simu
 
Mm natafuta Samsung S5 kikwetu kwetu naambiwa laki mbili na nusu
 
Kioo chake ndio Bei ya hiyo simu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha kufanya ingia eBay.com, weka anwani ya sanduku lako la posta, tafuta kioo vinauzwa kwa takribani 120,000, lipa kwa M-PESA master card, baada ya wiki 2 kitafika posta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…