Wakuu za weekend? Kwa masikitiko makubwa tumeamka kwa kupokea taarifa za msiba wa Michael Shirima, founder wa Precision Air. Ikani sukuma kutaka kupata kitabu chake alicho andika wakati wa uhai wake kinachoitwa "On my father's wings"
Kama kuna mtu anacho akitume huku tuweze kusoma sote ambao hatu kupata kukisoma mwaka jana.