Wadau msaada ktafadhali, Sisi wenye diploma za vyuo chini ya nacte majibu yalichelewa ndio kwanza tumeweza kuapply TCU sasa. Je tutawezaje kuapply loan board kwa sasa wakati Link ya OLAS IMEFUNGWA? naomba nisadieni maujanja maan hapa pagumu.
Asante kwa ushauri 🙂. Nimeweka huko pia lakini kuna watu wananijubu utumbo badala ya kusaidia! am desparate, yaani niko na hitaji kubwa la mkopo ndio maana nimepost kona nyingi kidogo ili kumpata atakaeona na kunisaidia