Ingia google type CSEE 2002 results..Watakuletea..mbona ize???
Weka No yako ya form 4 na No ya shule kisha utayaona live hapahapa.
Kwenye mtandao matokeo ya NECTA ya ACSEE,CSEE yameanza kuwekwa ya 2005-kuendelea.mwaka 2004 pia yapo ya CSEE ila si shule zote.nyuma ya mwaka 2004 hupati matokeo yoyote kwa uhakika.
Hana academic certificate huyo naye kilaza unawezaje kusahau namba uliyofanyia mtihani.
Haiwezekani kusahau Molembe?