Msaada wa kupata mawasiliano

Egongos

Member
Joined
Nov 5, 2007
Posts
39
Reaction score
8
Ndugu Wana JF

Naomba msaada wa kupata contacts za Mh. Prof. Anna Tibaijuka, nataka kuwasiliana nae anipe appointment ya kuonana naye ofisini kwake.

Niko kwenye harakati za kumsaidia mzee mmoja ambaye kiwanja chake kadhulumiwa na mjanja mmoja na amekwenda pale wizarani hajafanikiwa hata kumuona katibu mkuu wa wizara.

Natanguliza shukrani zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…